Eva Green

Mwigizaji wa Kifaransa

Eva Gaëlle Green (amezaliwa tar. 5 Julai 1980) ni mwigizaji filamu wa Kifaransa. Eva, alikulia mjini Paris na kuishi katika moja ya sehemu za mjini London. Eva, alishawahi kuelezewa na gazeti la Vogue kuwa yeye ana "mwonekano wa kiuaji, ana akili nyingi na pia mnyenyekevu", na pia ana sura nzuti ya kuvutia.[1]

Eva Green

Green akiwa katika ugawaji wa Tuzo za BAFTA huko mjini London, kunako mwezi wa Februari wa mwaka wa 2007.
Amezaliwa Eva Gaëlle Green
5 Julai 1980 (1980-07-05) (umri 43)
Paris, Ufaransa
Kazi yake Mwigizaji, Mwanamitindo
Miaka ya kazi 2003–hadi leo

Huyu ni binti wa mwigizaji Bi. Marlène Jobert. Hapo awali, Green alikuwa akitumbuiza katika makumbi kadhaa kabla ya kushiriki kwa mara yake ya kwanza katika filamu ya The Dreamers (2003), ambayo imezua mabishano kadhaa juu ya mwanama huyu kuonekana akiwa mtupu katika picha zake nyingi alizofanya humo.

Alijipatia umaarufu wake mkubwa baada ya kucheza katika filamu ya Kingdom of Heaven (2005), na vilevile kucheza katika filamu ya 2006 ya James Bond maarufu kama Casino Royale, ambayo imempatia tuzo ya BAFTA. Pia amefanya shughuli za kimitindo na makampuni kadha wa kadha.

Wasifu hariri

Maisha ya awali hariri

Filamu hariri

Mwaka Filamu Jina alilotumia Maelezo na Tuzo
2003 The Dreamers Isabelle Ameteuliwa kama Mwigizaji Bora wa Ulaya na European Film Awards
2004 Arsène Lupin Clarisse de Dreux-Soubise
2005 Kingdom of Heaven Sibylla
2006 Casino Royale Vesper Lynd Ameshinda - BAFTA Tuzo ya Nyota Chipukizi
Ameshanda - Empire Award kwa kuwa mwigizaji bora wa kike - chipukizir
Nominated - Saturn Award for Best Supporting Actress
Nominated - National Movie Awards for Best Best Performance by a Female
Nominated - Irish Film and Television Awards for Best International Actress
2007 The Golden Compass Serafina Pekkala
2008 Franklyn Emilia
2009 Cracks Miss G bado inatengenezwa tangazo zake

Marejeo hariri

  1. "Eva Green", The Independent Magazine, 14 Aprili 2007. 

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eva Green kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.