Ferid Murad (amezaliwa 14 Septemba, 1936) ni mwanakemia na daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mawasiliano ndani ya seli. Mwaka wa 1998, pamoja na Robert Furchgott na Louis Ignarro, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Ferid Murad
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ferid Murad kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.