Firmini wa Amiens (alifariki Amiens, leo nchini Ufaransa, 303 hivi) alikuwa askofu wa mji huo[1][2].

Mt. Firmino.

Inasemekana alitokea Pamplona, Hispania.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Septemba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. The oldest catalogue of Amiens's bishops exists in a late twelfth-century collection of the works of Robert of Torigny (J.S. Ott, "Urban space, memory, and episcopal authority: The bishops of Amiens in peace and conflict, 1073-1164", Viator 31.3, 2000).
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91990
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.