Florensi wa Orange

Florensi wa Orange (Tours, Ufaransa, karne ya 5 - Orange, Provence, 525 hivi) alikuwa askofu wa mji huo walau tangu mwaka 517 hadi kifo chake[1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu kutokana na ukarimu wake na miujiza iliyofanyika kwa njia yake[4][5] .

Sikukuu yake ni 17 Oktoba[6].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Evêque d'Orange.
  2. Joseph-Antoine Bastet, Essai historique sur les évêques du diocèse d'Orange, Orange 1837
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91877
  4. Saint Augustine's Abbey, The Book of Saints (Aeterna Press, 30 June 2015)
  5. Florentius dOrange.
  6. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.