Florensi wa Strasbourg

Florensi wa Strasbourg (alifariki 693 hivi) alikuwa mkaapweke katika Alsace ya leo, halafu mwanzilishi wa monasteri na hatimaye askofu wa 13 wa Strasbourg (leo nchini Ufaransa) baada ya Arbogasti[1].

Mt. Florensi akiwa amevaa kiaskofu.

Inasemekana alitokea Ireland.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • (Kijerumani) Médard Barth, Der heilige Florentius, Bischof von Strassburg, sein Weiterleben in Volk und Kirche, Le Roux, Strasbourg, Paris, 1952, 369 p. + pl. (Archives de l'Église d'Alsace ; numéro spécial 4)
  • (Kifaransa) Richard Beck, « La vie des saints : Saint Florent », dans Recherches médiévales, 1995, numéro47, p. 47-53
  • (Kifaransa) Laurent Samuel, « Que s'est-il passé à Haslach en 810 ? : quelques questions à propos de la genèse du culte de Saint Florent dans la vallée de la Bruche », dans Recherches médiévales, 1997, numéro 53, p. 3-16; réédité dans L'Essor (Schirmeck), 2000, numéro 188, p. 3-10
  • (Kifaransa) Bernard Xibaut, « Les reliques de saint Florent à Niederhaslach », dans Almanach Sainte-Odile, 2013, p. 102-103
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.