Frédéric Mistral

Frédéric Mistral (8 Septemba 183025 Machi 1914) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alijishughulikia na kufufua lugha ya Provence inayozungumzwa sehemu za Kusini za Ufaransa. Aliandika mashairi mengi katika lugha hiyo na kutolea kamusi. Mwaka wa 1904 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Frédéric Mistral
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Maandishi yake hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frédéric Mistral kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.