Franz Wright (18 Machi 195314 Mei 2015) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani akiwa mwana wa James Wright. Kama babake mwaka wa 1973, Franz Wright alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mwaka wa 2004.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Franz Wright kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.