Fujairah (kwa Kiarabu: الفجيرة) ni emirati mojawapo ya Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni, upande wa Ghuba ya Oman. Peke yake inaundwa na milima kwa kiasi kikubwa.

Minara ya Mskiti wa Al Badiyah, ulio wa zamani kuliko miskiti yote ya Falme za Kiarabu[1].
Falme za Kiarabu.

Mtawala wake ni Sheikh Hamad bin Mohammed Al Sharqi.

Utemi una wakazi 225,360 (2016[2]) katika eneo la km² 1,166.

Tanbihi hariri

  1. Eugene Harnan. "Oldest UAE mosque holds onto its secrets". 
  2. "United Arab Emirates: Emirates & Major Cities – Population Statistics, Maps, Charts, Weather and Web Information". citypopulation.de (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 31 July 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

  Fujairah travel guide kutoka Wikisafiri

Magazeti ya Falme za Kiarabu hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fujairah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.