Fukui (福井市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Fukui. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 267,000 wanaoishi katika mji huu. Iko kaskazini ya Ziwa Biwa.

Mkoa wa Fukui








Fukui
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Kanda Chūbu
Mkoa Fukui
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 267 175
Tovuti:  www.city.fukui.fukui.jp
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fukui, Fukui kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.