Gabriel Batistuta

mchezaji wa mpira wa Argentina

Gabriel Omar Batistuta (alizaliwa 1 Februari 1969) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina maarufu kama Batigol[1].

Ni kati ya wachezaji bora wa nyakati zote, hasa kutokana na shuti zake kutoka mbali.[2][3]

Tanbihi hariri

  1. Giancarlo Rinaldi (29 August 2014). "When Batigol could not stop scoring". Football Italia. Iliwekwa mnamo 18 June 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Rivaldo on top of the world" Archived 10 Juni 2020 at the Wayback Machine. FIFA.com. Retrieved 17 November 2013
  3. "Pele's list of the greatest". BBC Sport. 4 March 2004. Iliwekwa mnamo 15 June 2013.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriel Batistuta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.