Galway Kinnell (1 Februari 192728 Oktoba 2014) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1983 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Galway Kinnell, 2013

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Galway Kinnell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.