Gdynia (kwa lugha ya Kipolandi; kwa Kijerumani: Gdingen) ni mji wa Polandi wenye bandari katika Bahari ya Baltiki.

Gdynia, Poland

Mji huo ulikuwa na wakazi 247,799 mnamo Juni 2018.

Marejeo hariri


Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

54°30′N 18°33′E / 54.500°N 18.550°E / 54.500; 18.550

  Makala hii kuhusu maeneo ya Poland bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gdynia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.