George Oppen (24 Aprili 19087 Julai 1984) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1969 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Faili:George Oppen.jpg
George Oppen, 1980

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Oppen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.