Gereoni na wenzake

Gereoni na wenzake Kasius, Gregori Maurus, Florenti, Inosenti, Konstantino, Viktori na wengineo (walifariki Cologne, Ujerumani, 304) ni Wakristo waliofia dini yao kwa kukatwa kichwa.

Mt. Gereoni.

Inasimuliwa kwamba Gereoni alikuwa askari[1] wa Kikosi cha Thebe kutoka Misri.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 10 Oktoba[2].

Picha hariri

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "St. Gereon", Köln Tourismus. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-07-02. Iliwekwa mnamo 2020-02-21.
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.