Gerson Hosea Malangalila Lwenge

Gerson Hosea Malangalila Lwenge (alizaliwa tarehe 20 Februari 1951) ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania na ni mbunge wa jimbo la Njombe magharibi tangu mwaka 2010.[1]

Amechaguliwa kuwa mbunge wa Wanging'ombe kwa miaka 20152020. [2]

Marejeo hariri

Tanbihi hariri

  1. "Member of Parliament CV". Parliament of Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 March 2015. Iliwekwa mnamo 24 February 2013.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017