Gloria Steinem (amezaliwa 25 Machi 1934) ni mwandishi wa habari za utetezi wa haki (masuala) za wanawake na mwanaharakati wa siasa jamii kutoka Marekani.[1]

Gloria Steinem
Steinem mnamo 2008
Steinem mnamo 2008
Alizaliwa 25 Machi 1934
Nchi Marekani
Kazi yake mwandishi wa habari

Alitambuliwa kitaifa kama kiongozi na msemaji wa harakati za wanaharakati watetezi wa haki za wanawake kutoka Marekani American feminist movement mnamo 1960 mwishoni na mwanzoni mwa mwaka 1970.[2][3]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gloria Steinem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.