Go-Momozono (5 Agosti 175816 Desemba 1779) alikuwa mfalme mkuu wa 118 (Tenno) wa Japani. Alikuwa mtoto wa Mfalme Mkuu Momozono. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hidehito. Tarehe 23 Mei 1771 alimfuata shangazi yake, Go-Sakuramachi, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni Kokaku.

Mchoro wa Go-Momozono

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Momozono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.