Gongolamboto

(Elekezwa kutoka Gongo la Mboto)

Gongolamboto ni kata ya wilaya ya Ilala katika mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania.

Gongolamboto iko takriban kilomita 17 kutoka kitovu cha jiji kwa kufuata Barabara ya Julius K. Nyerere na kupita Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 63,043 [1]. Wakati wa sensa ya mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 57,312.[2]

Postikodi yake ni namba 12110.

Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala kinapatikana huko.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania  

Bonyokwa | Buguruni | Buyuni | Chanika | Gerezani | Gongolamboto | Ilala | Jangwani | Kariakoo | Kimanga | Kinyerezi | Kipawa | Kipunguni | Kisukuru | Kisutu | Kitunda | Kivukoni | Kivule | Kiwalani | Liwiti | Majohe | Mchafukoge | Mchikichini | Minazi Mirefu | Mnyamani | Msongola | Mzinga | Pugu | Pugu Station | Segerea | Tabata | Ukonga | Upanga Magharibi | Upanga Mashariki | Vingunguti | Zingiziwa