Goodison Park ni uwanja wa mpira wa miguu unaopatikana huko Walton jijini Liverpool nchini Uingereza. Ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Everton FC tangu mwaka 1892.

Goodison Park

Una uwezo wa kuketisha watu 39,572. Everton FC inashikilia rekodi kama klabu ya mda mrefu zaidi kati ya zitumikia ligi kuu ya Uingereza.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Goodison Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.