Gran Paradiso ni mlima wa Alpi katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Mlima wa Gran Paradiso

Urefu wake ni mita 4,061 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri