Grand Theft Auto: The Ballad of Gay Tony

Grand Theft Auto: Ballad of Gay Tony ni mchezo uliotengenezwa na Rockstar North na kuchapishwa na Rockstar Games kwa ajili ya PlayStation 3, Microsoft Windows na Xbox 360 muundo wa Grand Theft Auto IV.

Mchezo huu ulitolewa kwa mara ya kwanza kwa ajili ya Xbox 360 tarehe 29 Oktoba 2009, kabla ya kutolewa kwa ajili ya PlayStation 3 na Microsoft Windows mnamo tarehe 13 Aprili 2010.

Grand Theft Auto: Ballad of Gay Tony ni mchezo wa awamu ya kumi na nne katika mfululizo wa Grand Theft Auto.

Viungo vya nje hariri

 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Grand Theft Auto: The Ballad of Gay Tony kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.