Grandes Jorasses ni mlima wa Alpi kati ya nchi za Italia na Ufaransa (Ulaya).

Mlima wa Grandes Jorasses upande wa Kaskazini

Urefu wake ni mita 4,208 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri