Gulu ni mji mkuu wa Wilaya ya Gulu nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 141,500.

Majiranukta: 02°46′48″N 32°18′00″E / 2.78000°N 32.30000°E / 2.78000; 32.30000
Nchi Uganda
Mkoa Kaskazini
Wilaya Gulu
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 141,500
Picha ya angani ya Mji wa Gulu

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: