Hamsini na tisa au tisa na hamsini au hamsini na kenda ni namba inayoandikwa 59 kwa tarakimu za kawaida na LIX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 58 na kutangulia 60.

59 ni namba tasa.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamsini na tisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.