Hans von Euler-Chelpin

Hans Karl August Simon von Euler-Chelpin (15 Februari 18737 Novemba 1964) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswidi. Hasa alichunguza vimeng'enya na vitamini. Mwaka wa 1929, pamoja na Arthur Harden alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Hans von Euler-Chelpin


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hans von Euler-Chelpin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.