Harold Elliot Varmus (amezaliwa 18 Desemba 1939) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza virusi. Mwaka wa 1989, pamoja na Michael Bishop alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Harold Varmus
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harold Varmus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.