Hedwig wa Andechs (kwa Kijerumani: Hedwig von Andechs; pia: Hedwig wa Silesia, kwa Kipolandi: Jadwiga Śląska; Andechs, Bavaria, 1174Trzebnica Abbey, Silesia, 15 Oktoba 1243) alikuwa mwanamke wa ukoo tawala wa Andechs ambaye, kisha kuolewa, akawa malkia wa Polandi hadi mwaka 1238[2].

Mt. Hedwig akiwa na wengine, Hedwig Codex, Lubin, 1353 (sasa katika J. Paul Getty Museum, California, Marekani[1])

Tarehe 26 Machi 1267 Papa Klementi IV alimtangaza mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki tarehe 16 Oktoba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.