Helsingborg ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa nane katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 95,444 (mwaka 2008). Iko kando ya mlangobahari ya Oresund. Huu ni miongoni mwa miji ya zamani sana nchini Uswidi.

Helsingborg

Jiografia hariri

Eneo lake ni 37.63 km². Umbali na nchi ya Denmark ni 4 km

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Helsingborg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.