Hennie Aucamp (20 Januari 1934 - 20 Machi 2014) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini.

Hennie Aucamp

Amezaliwa 20 Januari 1934
Eastern Cape, Afrika Kusini
Amekufa 20 Machi 2014
Cape Town
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mwandishi

Aliandika mashairi, hadithi fupi na insha mbalimbali.

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hennie Aucamp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.