Heri

Hali ya kuwa na hisia za kupendeza

Heri (kwa Kilatini: Felicitas; kwa Kigiriki: Eudaimonia) ni hali ya raha kamili inayotazamiwa na watu wa dini mbalimbali kuwa itapatikana baada ya kifo na kudumu milele. Ni zaidi sana kuliko furaha.

Sehemu ya sanamu Mt. Teresa wa Avila kutoka nje ya nafsi iliyochongwa na Gian Lorenzo Bernini.

Katika Ukristo hariri

Katika Ukristo heri inatazamwa kuwa ndiyo lengo kuu la viumbehai kadiri ya mpango wa Muumba, kama alivyoeleza Thomas Aquinas[1]: "Wote wanakubaliana kuhusu lengo kuu, yaani heri."[2] Aquinas alikubali hoja ya Aristotle ya kwamba heri inahitaji kutafutwa kwa kujipatia maadili.[3]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Aquinas, Thomas. "Question 3. What is happiness". Summa Theologiae. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 October 2007.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  2. "Summa Theologica: Man's last end (Prima Secundae Partis, Q. 1)". Newadvent.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 November 2011. Iliwekwa mnamo 26 April 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "Summa Theologica: Secunda Secundae Partis". Newadvent.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 May 2013. Iliwekwa mnamo 26 April 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.