Hilary Duff

Mwigizaji na mwimbaji wa Amerika

Hilary Erhard Duff (alizaliwa Septemba 28, 1987) ni mwigizaji wa Marekani, mwimbaji, na mtunzi wa nyimbo.

Hilary Duff
Hilary Duff, mnamo 2019.
Hilary Duff, mnamo 2019.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Hilary Erhard Duff
Amezaliwa 28 Septemba 1987 (1987-09-28) (umri 36)
Aina ya muziki Pop
Kazi yake Mwimbaji
Ala Sauti
Miaka ya kazi 1993-hadi leo
Studio Walt Disney Records
Tovuti hilaryduff.com

Amepokea tuzo mbalimbali kama vile Nickelodeon Kids' Choice Awards, Teen Choice Awards na Young Artist Awards. Pia alianza kazi yake ya uigizaji akiwa na umri mdogo, ambapo alipewa jina la teen idol, kama mhusika mkuu katika filamu mbalimbali kwenye televisheni.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hilary Duff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.