Histolojia (kutoka maneno ya Kigiriki ἱστός, histos, "tishu", na -λογία, "elimu"; kwa Kiingereza "histology") ni utafiti wa seli na tishu ya mimea na wanyama, hasa tishu. Ni sehemu ya saitolojia, na chombo muhimu cha biolojia na elimu ya dawa.

Sampuli ikiwa katika darubini tayari kuchunguzwa.

Histolojia kwa kawaida hufanyika kwa kuangalia seli na tishu kwa darubini ya mwanga au darubini ya elektroni.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Histolojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.