Historia andishi ni kipindi cha historia ya binadamu kuanzia walipobuni uandishi miaka 3,300 hivi KK huko Mesopotamia.

Maandishi ya Kisumeri ya karne ya 26 KK.

Hatua hiyo imewezesha kutunza kumbukumbu kwa makusudi na hivyo kuchangia sana maendeleo ya fani ya historia.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia andishi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.