Hollywood, California

Tazama pia Hollywood, Florida


Hollywood ni mtaa wa mji wa Los Angeles katika jimbo la California la Marekani. Mtaa huu umekuwa maarufu duniani kama mahali pa kutengenezwa kwa filamu nyingi. Ni kitovu cha filamu Marekani penye makampuni mengi kama vile Universal Studios und Warner Brothers.

Hollywood
Nchi Marekani
Jimbo California
Wilaya Los Angeles
Tovuti:  www.hollywoodchamber.net
Jina la Hollywood mlimani juu ya mji

Waigizaji wengi wa filamu huishi katika mazingira ya Hollywood.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hollywood, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.