Honorati wa Amiens

Honorati wa Amiens (pia Honoré, Honorius; alifariki Amiens, leo nchini Ufaransa, 600 hivi) alikuwa askofu wa saba wa mji huo[1][2].

Mt. Honorati.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Mei[3][4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. The oldest catalogue of Amiens's bishops exists in a late twelfth-century collection of the works of Robert of Torigny (J.S. Ott, "Urban space, memory, and episcopal authority: The bishops of Amiens in peace and conflict, 1073-1164", Viator 31.3, 2000).
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/53440
  3. Martyrologium Romanum
  4. "CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: Saint Honoratus". www.newadvent.org. Iliwekwa mnamo 2019-01-30. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.