Honorati wa Arles (kwa Kifaransa: Honorat au Honoré; Galia Kaskazini[1], leo Ufaransa lakini pia Ujerumani, 350/380 hivi - 16 Januari 429) alikuwa mwanzilishi wa monasteri maarufu katika kisiwa cha Lerins[2], halafu askofu mkuu wa mji huo.

Mt. Honorati wa Arles.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Januari[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN|0-14-051312-4.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.