Howard Oliver Sackler (19 Desemba 192912 Oktoba 1982) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1967, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake The Great White Hope.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Howard Sackler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.