Hubertus au Hubert (656 hivi – Tervueren, leo nchini Ubelgiji, 30 Mei 727) alikuwa askofu wa Tongeren-Maastricht, kati ya Ubelgiji na Uholanzi kuanzia mwaka 708[1].

Mt. Hubert, Basilika la Mt. Patrick, Ottawa, Canada.

Mwanafunzi na mwandamizi wa Lambati wa Maastricht, aliinjilisha kwa bidii eneo hilo na kung’oa mila za Kipagani hata akapewa jina la Mtume wa Ardennes[2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.[4]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Mei[5] au 3 Novemba.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Crystal, David (1994). The Cambridge Biographical Encyclopedia. Cambridge: Cambridge University Press. uk. 471. ISBN 0521434211. 
  2. R. de la Haye, “Lambertus, laatste bisschop van Maastricht; Hubertus, eerste bisschop van Luik: Hun eigentijdse levensbeschrijvingen”, Publications de la Société Historique et Archéologique dans le Limbourg (PSHAL) 143 (2007), 9-66.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/76100
  4. "Hubert's Key in the Science Museum, London". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-03-19. Iliwekwa mnamo 2018-01-27. 
  5. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.