Hugo wa Lincoln

(Elekezwa kutoka Hugh wa Lincoln)

Hugo wa Lincoln, O.Cart. (pia: Hugo wa Avalon; Avalon[1], Dauphiné, Ufaransa Kusini, 1135/1140London, Uingereza, 16 Novemba 1200) alikuwa padri Mwaugustino, halafu mmonaki Mkartusi. Alitumwa kuongoza monasteri ya kwanza ya shirika lake Uingereza mwaka 1179[2].

Mt. Hugo katika mavazi ya Wakartusi na ya kiaskofu.

Mwaka 1186 alifanywa askofu wa Lincoln [3].

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waanglikana kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Honori III tarehe 17 Februari 1220.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Novemba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.