Ichijo (15 Julai, 98025 Julai, 1011) alikuwa mfalme mkuu wa 66 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Kanehito, na alikuwa mwana wa pekee wa Tenno En'yu. Mwaka wa 986 alimfuata binamu yake, Tenno Kazan, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1011, siku chache tu kabla ya kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake, Sanjo.

Mchoro wa Ichijo

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ichijo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.