Iliki (kwa Kiingereza: Cardamon) ni kiungo cha chakula kinachotokana na mbegu za mimea ya jenasi Elettaria na Amomum katika familia ya Zingiberaceae. Mbegu za eletteria ni nyeupe-kijani, na zile za amomum ni kubwa na nyeusi-kahawia.

Elettaria cardamon.
Mbegu za iliki kijani, nyeusi.

Asili ya mimea inapatikana huko Uhindi na Indonesia lakini tangu mwanzo wa karne ya 20 imelimwa nchini Guatemala ambayo kwa sasa ni nchi inayouza iliki nyingi duniani.

Kujisomea hariri

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iliki kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.