Ishirini na nne (pia arubaishirini, kutoka Kiarabu) ni namba inayoandikwa 24 kwa tarakimu za kawaida na XXIV kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 23 na kutangulia 25.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 3.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ishirini na nne kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.