Italia Kusini ni sehemu ya Italia bara[1] inayoundwa na mikoa ya Abruzzo, Basilicata, Calabria, Campania, Molise na Puglia.

Kwa jumla ni km2 73,223 na wakazi ni 14,118,477[2]

Tanbihi hariri

  1. http://epp.eurostat.ec.europa.eu/portal/page/portal/nuts_nomenclature/introduction
  2. "Dato Istat al 30/09/2015". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-03. Iliwekwa mnamo 2017-03-07. 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Italia Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.