Jönköping ni mji nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa tisa katika nchi ya Uswidi. Jönköping ni mji mkuu wa mkoa ya Småland. Kuna wakazi 125,154 (mwaka 2005).

Chuo cha Watu wa Jönköping

Jiografia hariri

Eneo lake ni 44.33 km². Iko kando ya Ziwa Vättern.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jönköping kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.