J. M. Coetzee

Mwandishi wa Afrika Kusini

John Maxwell Coetzee (amezaliwa 9 Februari 1940) ni mwandishi kutoka nchi ya Afrika Kusini. Hasa ameandika riwaya kuhusu athari za apartheid. Mwaka wa 2003 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

J. M. Coetzee

Amezaliwa John Maxwell Coetzee
9 Februari 1940
Cape Town, Afrika Kusini
Kazi yake Mwandishi

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1


  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu J. M. Coetzee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.