Jacques Lucien Monod (9 Februari 191031 Mei 1976) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza usanisi wa vimeng'enya ndani ya chembe hai. Mwaka wa 1965, pamoja na Francois Jacob na Andre Lwoff alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Jacques Monod
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacques Monod kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.