Jamhuri ya Altai (Kirusi: Республика Алтай) ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Russia. Mji mkuu wake ni Gorno-Altaysk.

Sehemu ya safu za milima ndani ya mkoa wa Altai
Mahali pa Jamhuri ya Altai Russia

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jamhuri ya Altai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.