Jean Stafford (1 Julai 191526 Machi 1979) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1970, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa mkusanyiko wa hadithi fupi zake The Collected Stories of Jean Stafford.

Jean Stafford mnamo 1941, pamoja na Robert Lowell na Peter Taylor
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean Stafford kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.