'

Jeffrey Eugenides
Jeffrey Eugenides mnamo 2011
Amezaliwa8 Machi 1960
Kazi yakemwandishi kutoka nchi ya Marekani


Jeffrey Eugenides (amezaliwa 8 Machi 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2003, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Middlesex.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeffrey Eugenides kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.