Jennifer Egan (amezaliwa 7 Septemba 1962) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2011, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake A Visit from the Goon Squad.

Jennifer Egan mnamo 2011
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jennifer Egan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.